Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 26, 2021 amemtembelea Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa nyumbani kwake Osterbay Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumjulia hali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakati alipo mtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26 Oktoba 2021.  Kushoto Mke wa Lowassa Mama Regina Lowassa.
Ushahidi wa Wazi Kesi ya Ugaidi ya Mbowe.
Watunza kumbukumbu wakumbushwa Usiri wa Nyaraka za umma.