Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Januari 23, 2022 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

Kikao cha Rais na Baraza la Mwaziri, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika kikao na Baraza la Mawaziri.

Mpenzi ataka turudiane akiwa na mimba ya mwanaume mwingine, nifanyaje?
Wanafunzi Elimu ya juu kuwa mabalozi elimu ya Afya Shuleni