Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping amemtumia barua ya kiserikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli.

PICHA: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Kocha AS Vita aitahadharisha Simba SC