Wikendi iliyopita Beyonce alifunika na show kali katika muda wa mapumziko kwenye fainali za Superbow huku akilizua zogo hata kuliko matokeo ya mechi husika.

Mwimbaji huyo aliyeongozana na jumla ya  dancers 50, waliutendea haki wimbo wake mpya wa ‘Formation’.

Bey 2

Hata hivyo, Queen Bey alinusurika kupata ajali alipokuwa jukwaani na huenda angeanguka ‘chali’. Lakini stamina ya  Mama Blue Ivy iliokoa jahazi.

Angalia hapa:

Jaji Lubuva amrushia Lowassa 'Jiwe gizani'
Imani: Profesa aliyesema Waislam na Wakristo wanaabudu Mungu Mmoja atimuliwa Kazi