Video: Jeshi la Wananchi Tanzania limekanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru
8 years ago
Baada ya taarifa zilizotolewa na Gazeti la Dira ya Mtanzani kwamba gari la kivita (Kifaru) la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limeibwa, Jeshi hilo limejitokeza na kukanusha taarifa hizo kuwa siyo za kweli.