Kuelekea uchaguzi mkuu Jeshi la Polisi mkoani Tanga limesema kuwa limejipanga kushirikiana na wananchi katika kutunza amani wakati wote wa kampeni na uchaguzi mkuu 2020.

Dar 24 Media ikizungumza na kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Tanga Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Blasius Chatanda amesema kuwa jeshi la polisi mkoani humo litashirikiana na wagombea pamoja wa vyama vyote .

“ Tumeimarisha usalama katika maeneo yote ya highway na katika mikutano , tuna uhakika mikutano yote tutailinda na vyama vyote tutavilinda ,” amesema kamanda Chatanda.

Bofya hapa kutazama zaidi …

Wasifu wa kocha mkuu Young Africans - Zlatko Krmpotic
JKCI yafanya upasuaji wa mshipa kwa mara ya kwanza