Mkuu wa mkoa na Mwenyekiti kamati ya usalama Dar es salaam, Paul Makonda ameeleza kusikitishwa na tukio la mauaji ya Polisi wanne lililotokea usiku wa jana maeneo ya Mbande jijini Dar es salaam.

Makonda ametoa pole kwa Polisi wa Mkoa wa Dar es salaam kutokana na tukio hilo, Pia amewaomba wananchi kutoa ushirikiano na kuwataka wafanyabiashara wa hoteli kuhakikisha wanafata taratibu zilizowekwa kwenye hoteli.

Aidha, Makonda ameitaja mikakati hii kwa Mahoteli yote ya Dar es salaam, Bofya hapa kutazama:-

Video: Makonda apokea vifaa vya usafi vyenye thamani ya milioni 10 kutoka AAR
Kingunge aomba marais wastaafu kuzungumza na Rais Magufuli jinsi ya kuzuia UKUTA