Kukamatwa na Polisi, Mbunge Lissu aligawa Bunge, wabunge wa upinzani watoka nje bungeni…, Makonda akamiwa, mbunge CCM ataka achunguzwe mali zake, Wema akwama…hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 8, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Msukuma apingana na Makonda, ataka mali zake zichunguzwe
CAF Kuhakiki Ubora Wa Viwanja AFCON