Meya wa Manispaa ya Kinondoni Benjamin Sitta, amezindua mashindano ya uvuvi wa samaki, kuelekea kilele cha siku ya mvuvi duniani huku akisisitiza kupigavita uvuvi haramu.

Amesema kuwa mashindano hayo ni yakipekee ambayo yanatakiwa kuendelezwa na hata watu wengine wakiiga, wavuvi wa msasani waendelee kuwa kipaombele,…Bofya hapa kutazama.

Mwanafunzi ajifungua nyuma ya darasa, RC ataoa agizo
Meya wa Arusha ajiunga CCM baada ya kupokea vitisho

Comments

comments