Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi amebainisha kuwa Rais wa awamu ya tatu, Hayati Benjamin Mkapa alipatwa na umauti siku ya Alhamis julai 23, 2020 majira ya saa tatu usiku.

Amebainisha hayo mapema leo, julai 28, 2020 wakati akisoma wasifu wa mzee Mkapa mbele ya umati wa watu kutoka ndani na nje ya nchi, waliokusanyika kuaga kwa mara ya mwisho mwili wake uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Aidha amesisitiza kuwa amefariki kwa ugonjwa wa moyo ulioambatana na Malaria…, Bofya hapa kutazama.

Kimya chatawala, Magufuli akimwaga machozi "Maneno yale yalikuwa ya mwisho"
Habari kubwa kwenye magazeti leo, Julai 28, 2020