Video: TAKUKURU Waingiza Miguu Yote Sakata La upangaji Matokeo
7 years ago
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) sasa imenyoosha makucha yake michezoni kwa kuanza kuchunguza sakata la kufungiwa kwa viongozi na wachezaji wa timu 4 za ligi daraja la kwanza kwa tuhuma za rushwa.