Katika Magazeti ya Tz leo Juni 16 2016 yametuletea Headlines mbali mbali ikiwa ni pamoja na wananchi kuhusu Bunge kutokuonyeshwa live ikiwa na agizo la Serikali lililotolewa Bungeni na Waziri Nape, lakini pia stori nyingine ni ya Wabunge kuhusu kukatwa kodi.

Washauri mwananchi aongezewe zigo siku moja toka wakatae sh. bill 230/ zao kikatwa kodi” – Nipashe

Haya hapa nimekuwekea unaweza kuyapitia 

Video: Ilala imekuja na hii ripoti ya matukio ya kikatili kwa watoto ndani ya miaka mitatu
Mwandishi wa hits za Baraka Da Prince adai 'hazimbariki'