August 7 2016 katika uwanja wa Wembley England Leicester City ambaye ni Bingwa wa EPL na Man United ambaye ni bingwa wa FA walikutana.

Katika mchezo huo nyota Zlatan Ibrahimovic alitumia mechi hiyo kudhihirisha ubora wake baada ya kuzitikisa nyavu za Leicester City kwa goli la ushindi. Man United wameibuka na ushindi wa goli 1-2

Kigwangalla aagiza simu za kamera kuzuiwa hospitalini
Waziri Nchemba atoa siku 14 kuwakamata wauza ‘Unga’