Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemkaribiasha mgeni wake Rais wa Poland,  Andrzej Duda mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam hii leo Februari 9, 2024.

Rais wa Poland, Andrzej Duda akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Poland, Andrzej Duda.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Poland, Andrzej Duda wakati wa Wimbo wa Taifa ukiimbwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Poland, Andrzej Duda akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 

Kamati ya pamoja yasaidia utatuzi changamoto za Muungano
Nwabali afuchua mafanikio Super Eagles