Muigizaji Wastara Juma, ambaye ni muathirika wa zoezi la Bomoabomoa baada ya nyumba zake mbili kubomolewa, ameamua kufunguka kwa kirefu kuhusu zoezi hilo.

Wastara amekosoa hatua na kauli mbalimbali zilizotolewa na viongozi wa serikali wakati wa zoezi la bomoabomoa akizihusisha na namna alivyoshiriki katika kampeni.

 

Bulembo: BomoaBoa inamjengea Chuki Rais Magufuli Kwa Wananchi, isitishwe
Platini Akubali Kuwaachia Wengine Nafasi Ya Urais FIFA