Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa watu wa Iran ukiongozwa na Balozi wake nchini Tanzania, Hossein Alvandi Bahineh jijini Dar es Salaam.

Pamoja na Mambo mengine, Iran imeonesha nia ya kufanya uwekezaji na biashara katika Sekta ya Mafuta na Gesi nchini Tanzania.

Hizi ni baadhi ya picha za kumbukumbu wakati wa mazungumzo hayo.

Jose Mourinho atafuta mlango wa kutokea
Waacheni Wafanyabiashara wafanye kazi - Dkt. Kijaji