Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Elirehema Joshua Doriye kuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bima la Taifa (NIC) akichukua nafasi ya Sam Kamanga ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Dkt. Doriye alikuwa Mhadhiri Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).

Tatizo hawa wadukuzi hawachukuliwi hatua- Bernard Membe
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Julai 30, 2019