Kampuni ya New Habari 2006 ambayo inazalisha Magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha uzalishaji wa magazeti  yake yote

Taarifa toka kampuni hiyo inasema kuwa hatua hiyo imechukuliwa kutokana na mwenendo mbaya wa biashara

Akitoa taarifa hiyo kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo  Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Dennis Msacky, amesema uzalishaji wa Magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu ijayo ya Desemba 08, 2020

Tusquets: Messi alistahili kuondoka FC Barcelona
PICHA: Lwandamina atua Mwanza

Comments

comments