Rapa toka Kibera,Kenya, Octopizzo amepiga hatua kubwa ambayo hakuwahi kuiota kuifikia hivi karibuni baada ya album yake ya LDPC kushika nafasi ya pili kwenye mtandao wa iTunes.

Octopizzo ameweka furaha yake kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuwa hakufikiria kama mtindo wa lugha ya Kiswahili cha mtaani inayotumiwa na vijana wa Kenya maarufu kama ‘Sheng’ kingeweza kuifanya album yake kuwa ya pili kwa umaarufu katika mtandao huo ikiifuatia album ya Dr. Dre ‘Compton’.

Otopizzo ameandika:

“History Has been Made,Thanks to all my fans Worldwide LDPC is now the Second popular’);”>most popular Album on iTunes after Compton by Dre. I don’t drink but Meeen! ! I gotta pop some bottles to this @cheekszone Download you copy now via the Link on my Bio #PizzoDeWhat? ?#LDPC#ItsNambaNaneVSeverybodY

#Team_Tergat #FashionKilla #music #Fashion #photografy #cinematography #photooftheday #canon #Africa #love #Album #hiphop #live #show #8 #Winning #festival #itunes #top @mtvbaseafrica @mtviggy”

Aliandika katika post nyingine:

“Never on My a million Dreams did I ever thought of my Album toping any Chart , worse coz I used to think Sheng was too local. Tumepeleka Sheng Majuu, thanks to ya’ll #‎LDPC currently @ No #2 on iTunes leo lazma bash!! #‎NeverGiveUp my people. Na usiwaikujidharau

Download the album via the link on , We Dhttps://itunes.apple.com/us/album/ldpc/id1029215982oing Numbers Bruh.

#LDPC

‪#‎ItsNambaNaneVSeverybodY

‪#‎Team_Tergat #‎FashionKilla #‎music #‎Fashion #‎photografy #‎cinematography #‎photooftheday #8 #‎Winning #‎soldout

Utovu Wa Nidhamu Wamuweka Pembeni Wanchope
Ali Kiba Kufanya Collabo Na Ne-Yo