Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Isdor Mpango ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la Wahariri na Wadau wa uhifadhi, Mazingira na utunzaji wa vyanzo vya maji linalofanyika Mkoani Iringa hii leo Desemba 19, 2022.

Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali, ambazo moiga picha wetu Festo Lumwe amezipata katika pande tofauti wakati Makamu wa Rais akiwasili kwa kuongozana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego.







Serikali yashauriwa kuangalia upya sheria za uhifadhi wa Mazingira
India kupandisha thamani madini ya Tanzania