Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefungua Ubalozi mdogo wa umoja wa nchi ya Falme za Kiarabu (UAE), mjini Zanzibar.

Halfa hiyo, imehudhuriwa na Waziri wa Nchi anaeshughulikia Mambo ya nje Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alahyan, Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi.

Wengine ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga, Balozi mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Zanzibar Saleh Ahmed, Viongozi wa chama na Serikali.

Askofu Lekundayo apongeza maendeleo, amani
Azam FC yatuma salamu nzito Msimbazi