Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Jimbo Kuu la Kaskazini mwa Tanzania, Dkt. Mch. Godwin Lekundayo na Ujumbe wake waliofika Ikulu kwa Mazungumzo.

Aidha, Askofu Dkt. Lekundayo ameipongeza Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Rais Dkt. Mwinyi kwa jitihada inazofanya kuwaletea Maendeleo Wazanzibari na Kuendelea Kudumisha Amani na Utulivu kwa Taifa.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Februari 21, 2023
Rais Dkt. Mwinyi afungua ubalozi mdogo UAE