Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Juni 12, 207 atapokea taarifa ya kamati ya pili ya wachumi na wanasheria iliyofanya uchunguzi madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga wa madini
Rais Magufuli atapokea ripoti hiyo baada ya siku chache kukabidhiwa ripoti ya mchanga wa madini na kamati ya kwanza ya uchunguzi wa mchanga wa madini.

Kampuni ya Japan yaajiri paka na mbwa kuongeza ufanisi ofisini
Awaua wanae kwa kuwafungia kwenye gari saa 15 akila bata na rafiki