Kampuni ya Rolls-Royce Holdings plc imefanikiwa kufanya majaribio ya kwanza ya ndege yake mpya ‘Spirit Of Innovation’ inayotumia umeme pekee.

‘Spirit Of Innovation’ imefanikiwa kuruka kwa kasi ya 387.4 MPH ambayo ni sawa na klm 623 kwa saa.

Ndege hiyo yenye kuruka kwa kutumia tishati ya umeme imeweza kuivunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na ndege nyingine ya kampuni ya Siemens ‘Extra-330LE’ ndege ya umeme ya kwanza kuweka rekodi ya kuwa na kasi kubwa zaidi, ambapo hii ilikuwa na uwezo wa kuruka kwa kasi ya 213 MPH ambayo ni sawa na kilomita 213 kwa saa.

Diamond Platnumz aizawadia Milioni 600 mikono yake
Mike Tyson aombwa kuwa balozi wa Bangi Malawi