Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameiagiza Serikali kuchukua hatua za haraka za kushughulikia vitendo vya kihalifu vinavyofanywa na vikundi kama Panya Road.

Dkt. Tulia, ametoa agizo hilo hii leo Septemba 15, 2022 Bungeni jijini Dodoma, kufuatia hoja ya dharura iliyowasilishwa na Mbunge wa Viti Maalum, Bahati Ndigo aliyeomba shughuli za bunge ziahirishwe kwa muda kujadili usalama wa raia na kuongezeka kwa vitendo vinavyoathiri maisha ya watu.

Kupata tukio zima, tafadhali bonyeza picha hapo chini.

Haji Manara arudisha kombora Kamati ya Rufaa
Polisi yafafanua tukio la kifo Mwanafunzi UDSM