Mshambuliaji nguli wa AC Milan, Stephan El Shaarawy amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa kujiunga na miamba mingine ya soka la Italia klabu ya AS Roma.

Mchezaji huyo aliyepachikwa jina na ‘The Pharaoh’ kutokana na kuwa na asili ya Misri El Shaarawy alianza vizuri kung’ara vizuri akiwa na Milan kabla ya kupata majanga ya majeraha.

Kwasasa amerejea kwenye ligi ya Serie A kwenye mji mkuu wa Italia kujaribu kurejesha makali yake ya mwanzo baada ya kumaliza mkaba wake wa mkopo kwenye na Monaco ambayo imeshindwa kumpa mkataba wa kudumu.

Yabainika: Habari kuhusu Sheria Mpya ya Eritrea kuoa mke zaidi ya Mmoja au kifungo Sio ya Kweli
Enyimba FC Wagoma Kuja Tanzania