Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), imeokoa zaidi ya shilingi bilioni moja na kuzirejesha serikalini  na kwenye vyama vya ushirika.

Hayo yamesemwa leo   jijini Dodoma na Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo, wakati akitoa taarifa kwa  waandishi wa habari  kuhusu taarifa ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2020/2021 ya taasisi hiyo.

IGP Sirro amuagiza Lissu kuripoti polisi
Msajili afichua mpango siri wa vyama Oktoba 3

Comments

comments