Taasisi ya Uongozi imeeleza kuwa zoezi la kutafsiri tawasifu ya Hayati Rais Benjamin Mkapa kwenda lugha ya Kiswahili, lipo katika hatua za mwisho.

Wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho, ‘My Life, My Purpose’ Novemba 2019, Hayati Rais Magufuli aliitaka taasisi hiyo ikitafsiri.

Samia: Mzee Mwinyi ni Baba wa Mageuzi
Serikali yasitisha ukaguzi nyimbo za wasanii