Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na Mtoto Georgina Magesa ambaye pia aliketi kwenye Kiti cha Rais katika hafla ya uzinduzi wa Minara ya kurusha matangazo ya Televisheni Ardhini (DTT) ya Azam Media iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

Hafla hiyo iliyofanyika hii leo Mei 18, 2023 pia ilihudhuriwa na Wadau mbalimbali akiwemo mzee marufu mjini na nchini Mpili, na wadau wa Habari.

Zimbwe Jr, Kapombe watamba kileleni Ligi Kuu
Shekhe Jassim adhamiria kweli Old Trafford