Kocha wa Klabu ya Manchester United raia wa Uholanzi, Louis van Gaal ametoa changamoto kwa wachezaji wa timu yake kuhakikisha wanafanya vizuri na kuthibitisha kama wana haki ya kuwa katika timu hiyo kwa kuwafunga  Wolfsburg watakaopambana nao hii leo.

United wanaweza kutolewa katika Champions League kama wakishindwa kuwafunga PSV Eindhoven.

“Ni muhimu sana kwa timu hii kuendelea katika michuano ya  Champions League pia ni muhimu kwa wachezaji kuendelea kuonyesha juhudi zao za kiwango cha juu”,amesema  Van Gaal

“Lazima ujidhihirishe mwenyewe na kama timu na kukubadilisha matokeo haya tuliyokuwa nayo katika baadhi ya mechi zilizopita kuwa mazuri,”amesema Van Gaal

Nahodha Wa Yanga Nadir Haroub Atangaza Kustaafu Soka
Donald Trump Achafua Hewa, Ataka Waislamu Wasiingie Marekani