Binti mmoja aliyefahamika kwa jina la Naomi Ireri, raia wa Kenya amesimulia namna ambavyo penzi la usiku mmoja bila kutumia kinga kwenye nyumba ya wageni ya hali ya chini iliyopo kichochoroni lilivyogharimu maisha yake.

Naomi ameeleza kuwa uamuzi wake wa dakika chache ndani ya kuta nne za nyumba hiyo iliyolenga kupokea na kuwapa malazi wageni, ulimgharimu yeye mwenyeji wa eneo hilo baada ya kuambukizwa Virusi Vya Ukimwi.

“Baada ya kupimwa nikiwa mjamzito, nilipatikana na virusi. Nikafikiri ni baba ya mtoto wangu alikuwa ameniambukiza lakini kumbe sivyo” amesema hayo wakati akisimulia mkasa huo tembelea.

LIVE: Masheikh, Maaskofu na wachungaji wanapanga mikakati kuelekea Uchaguzi
Video: Mashabiki wa Yanga wadai kurogwa na Simba