Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego kwa kipindi kisichojulikana hadi hapo litakapojiridhisha kwamba ametekeleza maagizo yote aliyopewa na Baraza ikiwa pamoja na kubadilika katika kubuni kazi zenye maadili na zisizo dhalilisha watu wa kada mbalimbali.

Makonda anasa ufisadi mkubwa ujenzi wa jengo la Machinga complex
Ni Marufuku Kwa Wachezaji Wa Man City Kula Pizza