Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro ameitaja mikakati ya ulinzi sikukuu ya Eid el Fitr, Sirro ameeleza kushirikiana na vyombo vyote vya usalama kuimarisha ulinzi,

  • Kikosi cha usalama na uokoaji,
  • Kampuni binafsi za ulinzi,
  • Vikosi vya uokoaji wakati wa majanga,
  • na vikundi vya ulinzi shirikishi.

Pia kamanda Sirro amempongeza mwanamke aliyeonyesha ushujaa baada ya kuvamiwa na majambazi. Hii hapa video

SERIKALI YASHAULIWA KUFUNGIA WAGANGA FEKI
Jose Mourinho Arusha Dongo kwa Babu Wenger