Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makond, ametoa msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi milioni 476 kwaajili ya Kuezeka Nyumba 1,000 za Wajane walioathiriwa na mafuriko yanayotokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar.

Aidha amewapa siku 10 wakuu wa wilaya kuhakikisha wanapitia maeneo ya mito na mabonde kukagua athari za mabadiliko ya tabia nchi kwa kuwashirikisha viongozi ambapo amewataka wananchi waliojenga mabondeni kuondoka.

Leandro Gastón kung'oka Mamelodi Sundowns?
Bilo: Balama aongeze juhudi