Hatimaye Ali Kiba ameachia video mpya ya wimbo wake ‘Chekecha Cheketua’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wake. Video imeongezwa na Meji Alabi.

Iangalie hapa:

Tetesi za ‘Nyerere kumkataa Lowasa’ zajibiwa
P Square wamuunga mkono Wizkid kususia tuzo za BET