Jeshi la Polisi Dar es salaam kupitia kikosi cha kupambana na wizi wa magari jijini Dar es salaam limefanikiwa kukamata magari yaliyoibiwa pamoja na kuwakamata watuhumiwa  wawili wa wizi wa magari, gari lililokamatwa ni bus aina ya TATA  T . 578CGH na T.288 Toyota Carina huku lingine likiendelea kufuatiliwa. #USIPITWE Bofya hapa kutazama video

Polisi Yakamata Vinara Wawili Wezi Wa Magari Jijini Dar es salaam
Bastian Schweinsteiger Atangaza Kustaafu Soka