Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC wamehitimisha mkutano wa 41 uliofanyika kwa siku mbili Lilongwe nchini Malawi, ambapo wakuu hao wamesaini nyaraka 4 za kisheria ambazo ni itifaki ya Takwimu, Mkataba wa Marekebisho ya itifaki ya Nishati ya SADC na marekebisho ya kiambatisho.

Al Ahly maji ya shingo Misri
Mwenge wa Uhuru kukagua miradi 46 Dar