Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha Viongozi wateule hii leo Februari 15, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam.

Walioapishwa ni Mohamed Mchengerwa anayekuwa Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana aliyehamishiwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Said Othman Yakub ambaye anakuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Chana.
Katibu Mkuu, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Said Othman Yakub.

GEF waridhishwa utekelezaji mabadiliko Tabianchi
Madalali waonywa tabia ya kurubuni Wakulima