Zifuatazo ndiyo timu 16 zilizovuka kutoka hatua ya makundi, yaani timu mbili kutoka kila kundi.
England imefanikiwa kuingiza timu tatu kama ilivyo kwa Hispania na kufuatiwa na Ujerumani na Italia zenye timu mojamoja.
Timu inayoonekana kufeli na kuwa gumzo ni Manchester United ambayo itacheza michuano ya Euro Cup ambayo inaonekana kama “si saizi yake”.
Kundi A – Real Madrid (kinara), Paris Saint-Germain (nafasi ya pili)
Kundi B – Wolfsburg (kinara), PSV Eindhoven (nafasi ya pili)
Kundi C – Atletico Madrid (kinara), Benfica (nafasi ya pili)
Kundi D – Manchester City (kinara), Juventus (nafasi ya pili)
Kundi E – Barcelona (kinara), Roma (nafasi ya pili)
Kundi F – Bayern Munich (kinara), Arsenal (nafasi ya pili)
Kundi G – Chelsea (kinara), Dynamo Kyiv (nafasi ya pili)
Kundi H – Zenit (kinara), Gent (nafasi ya pili)

Wimbo Mpya: Magufuli Balaa – Kala Pina
Asiyekubalika Na Wengi Aivusha Arsenal Barani Ulaya