Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan amewakabidhi zawadi Maafisa Wanafunzi waliofanya vizuri kwenye masomo yao.

Rais Samia amewakabidhi zawadi hizo, ikiwa ni muda mfupi kabla ya Kutunuku Kamisheni Maafisa 724 kwenye Sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Mkoani Arusha hii leo Novemba 26, 2022.

Zelensky ataka Urusi ilipe fidia vifo vya njaa
Polisi watatu wauawa kwenye msafara, Kiongozi atekwa