Aliyempa ardhi Makonda ahojiwa na Polisi, Fisi avamia boma aua watoto, ajeruhi, mama ajitosa kuwaokoa, ajeruhiwa vibaya, Lipumba awatumbua wakurugenzi 5 Z’bar, atengua uteuzi wao kwa kudharau maagizo anayotoa…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 7, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Tundu Lissu aachiwa kwa dhamana
Zlatan Ibrahimovic, Tyrone Mings Hatarini Kufungiwa