Sababu za usalama zamkwamisha Lowassa, Wahamiaji haramu sasa pasua kichwa, wamefurika kwenye magereza Pwani, Serikali yafikiria kuacha kuwagharamia, Saratani tishio, 50,000 wapya wagundulika…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 16, 2017. Tazama video

Uchaguzi Liberia kuelekea duru ya pili
Federer ang'ara michuano ya Shangai Masters