Afarah Suleiman, Mpwapwa – Dodoma.

Umoja wa jogging club kutoka mkoa Dodoma na Manyara leo Machi 2, 2024 zimekutana kufanya mazoezi ya pamoja ikiwa ni kujenga afya, mshikamano na umoja baida ya club hizo.

Katika mazoezi hayo, jumla club tano ambazo ni Tanzanite jogging club, Polisi Mpwapwa jogging club, Ilaza pamoja na JKT 826 Mpwapwa jogging club zimeshiriki.

Kwa pamoja, Club hizo zimekutana katika Viwanja vyqa Chazungwa na  Mtejeta kufanya mazoezi ya viungo na kisha kumalizia kwa mbio za kuzunguka katika maeneo ya mji wa Mpwapwa.

Zifuatazo ni baadhi ya picha zikionesha matukio mbalimbali wajati wa mazoezi ya umoja wa Club hizo.

 

Bodaboda msikwepe mafunzo ya usalama Barabarani - Amend
Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Machi 2, 2024