Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi.

Felix Ngamlagosi amesimamishwa kazi kuanzia leo tarehe 11 Juni 2017.

Video: Majambazi wavamia mgodi, wajeruhi, wapora dhahabu na fedha
Wanaharakati walia na Bajeti ya Serikali kwa kusahau ‘pedi’ za wanawake