Wimbo wa Wizkid ‘Ojuelegba’ unazidi kupenya katika masikio ya mastaa wa Marekani ambapo hivi sasa familia ya The Kadashians imeanza kuipa mashavu.

Mdogo wake Kim Kardashians, Kylie Jenner amepost kiipande cha video akionesha anacheza kwa madoido wimbo wa Mnaija huyo, kipande kilichoteka mitandao baada ya kutua YouTube.

Hivi karibuni, wimbo huo ulipewa shavu na familia ya  Swizz Beatz na Alicia Keys ambao walitumia muda wao wa mapumziko kucheza na kuimba Ojuelegba huku wakipost kwenye mitandao ya kijamii.

Rais Wa FC Barcelona Awawekea Ngumu Man Utd
Selena Gomez Achoshwa Na Maswali Ya Justin Bieber