Baada ya kumkosa mshambuliaji wa Tanzania, Mbwana Samatta, klabu ya Standard Liege ya Ubelgiji imekamamilisha uhamisho wa nahodha wa Uganda, Farouk Miya.

Awali Standard Liege ilionesha nia ya kumchukua Samatta kabla ya kukumbana na kizingiti cha makbaliano ya Samatta na wapinzani wao Genk.

Standard Liege, wanaoshikilia nafasi ya sita kwenye Ligi Kuu Ubelgiji wamemchukua Miya kwa mkopo wa miezi sita baada ya kulipa kiasi cha takriban shilingi milioni mia mbili ishirini mbili ($ 100,000)

Iwapo Miya mwenye umri wa miaka 19 a

Sababu Tatu Zilizomrejesha Mbwana Samatta DRC
Afisa wa Takukuru auawa kikatili