Shindano la maisha plus kuanza rasmi jana , Zaidi ya nchi 5 za Afrika mashariki kushindanishwa, sakata  la kuwania fedha taslimu millioni 30, washiriki 29 ndani ya kijiji cha maisha plus.

Chini ni baadhi ya picha zinazoonyesha washiriki baada ya kujili eneo la shindano, ambapo masoud kipanya akionekana kutoa baadhi ya maelekezo kwa washindani hao.

Ni baadhi ya vyombo ambavyo vitatumika pindi washiriki hawo wa maishi plus wakiendesha gurudumu la kuwania mabilioni ya fedha.

Babu wa kijiji cha maisha plus akitoa maelezo kwa kina kwa washiriki hao wa maisha plus wanaotoka katika nchi tano za Afrika mashariki jinsi gani wataishi, kwa kuanza kujenga nyumba zao wenyewe.

Mbeya City Yawasili Nyumbani, Kuvaana Na Azam FC J.Mosi
Arsenal, Man City Zilipambana Kumsajili Zlatan Ibrahimovic