Mzunguuko wa tatu wa kombe la ligi nchini England Capital One Cup, usiku wa kuamkia hii leo ulishuhudia baadhi ya timu zikisonga mbele na kutinga katika mzunguuko wa nne wa michuano hiyo.

Aston Villa1 – 0Birmingham

Fulham 0 – 1 Stoke

Hull 1 – 0 Swansea

Leicester 2 – 1 West Ham

Middlesbrough 3 – 0 Wolves

Preston 2 – 2 Bournemouth

Bournemouth alishindwa kwa penati 3-2.

Sunderland 1 – 4 Man City

Michuano hiyo itaendelea tena hii leo kwa michezo mingine ya mzunguuko wa tatu kuchezwa ambapo.

Crystal Palace v Charlton

MK Dons v Southampton

Newcastle v Sheff Wed

Norwich v West Brom

Tottenham v Arsenal

Walsall v Chelsea

Liverpool v Carlisle

Man Utd v Ipswich

Eva Carneiro Aondoka Stamford Bridge
Robert Lewandowski Aushangaza Ulimwengu