Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Mei 27, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (African Court on Human and Peoples’ Rights) Jaji Sylvain Orè, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Mawaziri biashara, viwanda kukutana Arusha
Serikali yaahidi kusimamia bei za mazao