Baada ya kushindwa katika mchezo wa fainali ya michuano ya Wimbledon Championship, mcheza tennis kutoka nchini Uswiz, Roger Federer ametoa kisingizio cha kushindwa kufikia lengo.

Federer, amesema mvua iliyokua ikinyesha uwanjani ilikua kikwazo kwake kufanya vizuri mbele ya mpinzani wake Novak Djokovic, na mwishowe alijikuta akipoteza muelekeo kwa kukubali kupoteza mchezo huo muhimu.

Amesema mvua hiyo, yaliyorindima uwanjani kwa dakika 20, yalilowesha uwanja na kusababisha hali ya utelezi ambao ulimpotezea muelekeo alipua akipambana.

Federer alikubali kufungwa kwa seti nne kwa sifuri ambazo 7-6, 6-7, 6-4 na 6-3.

Picha: Mrembo Wa Miaka 26 Ashinda Taji La Miss USA 2015
Mourinho Amtumia Fabregas Kushawishi Pedro